Wednesday, March 29, 2017

With Madam Ritha 

With Madam Ritha,mwanamke Jasiri,anayebadilisha maisha ya vijana na wamama wengi wa Kitanzania @mspaulsen asante kwa kunialika kwenye kipindi chako siku ya wanawake duniani,God bless you and your team 🙏 #womenempoweringwomen#beboldforchange#kikisfashion